Maswali ya kawaida

Majibu ya haraka.

Maelezo ya msingi kuhusu mfumo, account, faragha na financial estimates.

KIKOBAR ni nini?

Ni mfumo wa kidijitali wa kusimamia na kufuatilia michango, mikopo, marejesho, penalties na gawio la kikundi.

Ninaingiaje kwenye mfumo?

Tumia kitufe cha Ingia kwenye Mfumo. Account mpya lazima iandaliwe na ku-activate kupitia utaratibu rasmi wa KIKOBAR.

Makadirio ya gawio ni gawio rasmi?

Hapana. Estimate ni taarifa ya muda kutoka financial facts zilizopostiwa. Gawio rasmi hutolewa baada ya year-end governance na finalization.

Taarifa zangu zinaonekana public?

Hapana. Member identity, balances na financial records huonekana ndani ya portal baada ya authentication.

Nyaraka na taarifa mpya zitawekwa wapi?

Nyaraka za public na taarifa zilizoidhinishwa zitaonekana kwenye sehemu husika baada ya publication workflow kukamilika.